Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Mungu ibariki Israel
Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90)
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi.
Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio sha togwa!
Kiwanda cha...
Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za...
Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe
Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.
Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo...
Kwa nini Mungu aliruhusu Abel auliwe na ndugu yake Kaini wakati kimsingi Kaini ndiye ambaye sadaka yake haikumfurahisha Mungu? Kuna ujumbe mzito sana hapa!
Connection ya maisha yaliyofuata baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.