Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
22 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
7 Reactions
24 Replies
316 Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
755K Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
1 Reactions
6 Replies
56 Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
34 Reactions
540 Replies
42K Views
HIOOO N FEITH TOTO VS YANGA HUKOO ZNZ ALIPOFANYA HIVYO TUKAMPA DOSI PEMBEN N KIBU DENIS MECHI YA...VS YANGA ALIPORUDISHA IKAWA MOJA MOJA AKALETA DHARAU TUKA MUADHIBU #nisameheniibureeepls
1 Reactions
8 Replies
68 Views
Habari wakuu, Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika. Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
231K Views
  • Suggestion
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
6 Reactions
62 Replies
812 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,247
Posts
49,796,266
Back
Top Bottom