Daaah,
Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza.
Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe...
Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na...
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu!
Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka
https://x.com/i/status/1793231455981805944
na baada ya kuwa na madaraka...
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
Umofia kwenu bandugu wote kwenye hiki kilinge chetu cha kujidai. Nina ombi kwenu wadau.
Nina mpango wa kuandaa tamasha la stand up comedy huku mkoa ninaoishi, nimeiona hiyo fursa naamini nitapiga...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Wengi hawamjui lakini Valentine Strasser alikuwa rais wa Sierra Leone kati ya Mwaka 1992 mpaka 1996, na aliweka rekodi ya kuwa kiongozi mwenye umri mdogo zaidi kuingia madarakani akiwa na miaka...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.