Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual...
Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa...
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri.
Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
Habari Zenu Ndugu Zangu wa Jamii Forums,
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri wa Miaka 28
Naishi Chanika Dar es salaam,
Ninachangamoto Ya Kutafuta Ajira Ndugu zangu
Elimu Yangu Ni Kidato Cha Nne Ngazi Ya...
Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume.
Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama...
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni...
Wakuu si vibaya kupeana mikakati ya kukabiliana na janjajanja za hawa wenzetu wenye mawazo kutudidimiza kwa faida zao.
Maana na wao kila uchao wana mbinu mpya.
Mimi kwakweli nimeanza kuwaogopa...
Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing.
Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.