Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
41 Reactions
361 Replies
4K Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
5 Reactions
106 Replies
2K Views
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi. Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
7 Reactions
110 Replies
23K Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
8 Reactions
22 Replies
170 Views
Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya...
0 Reactions
3 Replies
45 Views
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
25 Reactions
310 Replies
18K Views
https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
5 Reactions
35 Replies
712 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
6 Reactions
95 Replies
2K Views
ukiondoa wachaga watanzania wengi wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA. Kwa wachaga naona wapo tofauti...
1 Reactions
8 Replies
104 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania...
2 Reactions
39 Replies
706 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,407
Posts
49,715,721
Back
Top Bottom