Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆 Sina ata mia mbovu...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata...
7 Reactions
120 Replies
7K Views
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
4 Reactions
50 Replies
812 Views
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
11 Reactions
87 Replies
995 Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
11 Reactions
83 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni...
25 Reactions
160 Replies
10K Views
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
3 Reactions
11 Replies
207 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views
Siku nyingi simuoni kupost humu! Yuko wapi BAK?
9 Reactions
75 Replies
3K Views
Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
7 Reactions
79 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,539
Posts
49,833,512
Back
Top Bottom