Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
7 Reactions
35 Replies
464 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
27 Reactions
512 Replies
16K Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
18 Reactions
299 Replies
4K Views
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
5 Reactions
35 Replies
876 Views
Wadau wote wa JF poleni na majukumu. Nimetenga 5M hadi 7M, Natafuta kiwanja Mwanza kiwe halmashauri ya ilemela au nyamagana. Sifa za eneo 1. Kiwe sehemu tambalale au mwinuko mdogo unaoruhusu...
1 Reactions
4 Replies
181 Views
Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata...
1 Reactions
9 Replies
116 Views
Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo. Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama...
4 Reactions
34 Replies
852 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
9 Reactions
37 Replies
495 Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,856,434
Posts
49,691,137
Back
Top Bottom