Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta...
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
My Take
Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo...
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Madai ya rafikiyangu msabato kuwa Kanisa Katoliki wanatunza akiba ya Fedha kutekeleza sheria ya jumapili yana ukweli? Wadau hamjamboni nyote?
Ni Madai ya rafiki yangu mmoja wa kisabato kuhusu...
Msafara wa Raisi wa Iran ulikuwa na Helikopta tatu moja ikiongoza msafara ikiwa na walinzi na Maafisa usalama wa Irani na Maafisa wengine wa serikali ya pili katikati ilikuwa imembeba Raisi wa...
Paul Makonda smewajibu wale Wanaodai anawadhalilisha wanawake Kwa kudema hawezi kumvumilia Kiongozi mxembe.Kwmaba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 inatosha.👇👇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.