Makonda: Wezi na Mafisadi Wana Umoja Sana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,619
Paul Makonda smewajibu wale Wanaodai anawadhalilisha wanawake Kwa kudema hawezi kumvumilia Kiongozi mxembe.Kwmaba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 inatosha.👇👇

View: https://twitter.com/HabarimpyaTv/status/1794713955220574468?t=JWFH5UAZ_BE1FMKrFtISMw&s=19


My Take
Unafuga kinyago harafu unakiogopa tena.

Taibia za kudhalilisha Watumishi wa Umma Kwa Kisingizio vya Ufisadi ,wizi na uzembe ikome mara Moja.Nakumbuka ilianzishwa na Mwendazake wakati majizi ni ma ccm na sio Watumishi wa Umma.

Mfano Makonda anaweza elezea vyanzo vya Mali zake jinsi alivyozipata?

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1794719329902268927?t=ZaDJ69R6snlrm5b4zWctaA&s=19
 
Dunia inao wachache mno wenye haki, na watenda maovu hujivuna kwa uovu wao, huutetea uovu wao, wako tayati kumwaga damu nyingine kutetea ujangili wao

Na siku zote mtu muoga wa kusemwa kwa sababu anasimamia ukweli, hawezi kuwatetea watu hadharani, mtu huyo huchagua njia ya kuabudu uovu na hayuko tayari kuitetea haki, maana haki haipendwi na wengi, Haki ni adui mkubwa sana ya watu wengi waovu

Na ndiyo maana leo, tunaviongozi wengi wanaabudu uovu wa matendo ya watishao kwa uovu wao, hawana kauli yoyote mbele ya watishao kwa maovu

Kuna kiongozi mmoja alidiriki kusema, ukiwagusa mafisadi, unaua nchi, hiyo ni ibada kamili ya mtu muovu dhidi ya waovu wenzake

Siku zote dhambi kuu, hubebwa na mabwenyenye yaliyoshindikana kwa uovu, yamejaa dhuluma na hayana hofu dhidi maisha ya haki na watu wengine, yana ukwasi na yanatisha, hayo hayawezi kukemewa hata kwenye nyumba za Ibada, lakini ni kwa faida ya Nani?

Ni kwa faida ya njaa tu za viongozi, wakati wao wakiamini wanamtumikia huyo mwenye haki, naye huyo mwenye haki hawaju hao, amewajumlisha kwenye kundi la hao waovu

Ushetani kuugeuza uwe wema, ni gharama kubwa mno, ni nani awezaye kuvumilia matusi ya waovu? Nani awezaye kutengwa? Kunyanyapaliwa na watu mamia na maelufu ya waovu? Mtenda haki, huwa kama mtu akaaye nyikani, maana hutengwa na kupigwa vita na jamii kubwa ya waovu

Duniani, tunaishi kwa muda mufupi mno ukilinganisha na Dunia tuliyotokea kabla ya kuja Duniani na baada ya kutoka tena tena Duniani

Chukia uovu kwa nguvu zote ili uwe mingoni mwa wale wanao na matumiani ya amani kutumika bila dhuluma huku wakijua, kufanya hivyo, ni kuwa upande wa wale wachache mno walio na tunda la Mungu ndani yao

Makonda, endele hivyo hivyo, hata kama heshima yako itakuwa ziro kabisa duniani, ila kwa kuwa unajipambanua kwa kuchukia dhuluma, Mungu anathawabu yako
 
Wavivu, wazembe, Wala rushwa, incompetence

Hawa kama sio KUKUCHUKIA, wanaweza kukuua.

Ni watu ambao hata kazin, vyeo vyao wanavipata Kwa kujipendekeza, na Kwa Ushirikina.
Nasimama na Makonda .

Mimi ni Pro-Magufulinism
Hao ni wengi Sasa wewe na Makonda mtawaweza?

Makonda anaweza tuekezea vyanzo vya utajiri wake? Huu utoto anamdanganya nani labda?
 
Vilaza wote wa kazi za michongo lazima wampige madongo makonda. Huyo jamaa ni kiongozi hata Rais Samia hawezi mfikia.
Ni Kiongozi Kwa mbumbumbu na maskini kama nyie ila mbele ya wasomi na wenye uchumi huyo ni popoma mmja tuu.

Rais hashindani na wajinga Wala hajawahi jaa upepo.
 
Back
Top Bottom