Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
12 Reactions
79 Replies
424 Views
Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa. Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza...
10 Reactions
77 Replies
2K Views
Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo...
20 Reactions
68 Replies
656 Views
Paul Makonda smewajibu wale Wanaodai anawadhalilisha wanawake Kwa kudema hawezi kumvumilia Kiongozi mxembe.Kwmaba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 inatosha. My Take Unafuga kinyago harafu...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
6 Reactions
108 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania...
5 Reactions
45 Replies
767 Views
Naomba kuuliza? hivi Viongozi wa dini baada ya wao kufanya uchaguzi ndani ya taasisi zao na wao huwa wanaapa kwa kutumia vitabu Vitakatifu Kama ilivyokwa Viongozi wa Serikali ?
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Wewe sio type yake kabisa ni vile tu hajaanza kuwa na kibunda cha maana. Akizipata...
7 Reactions
59 Replies
632 Views
ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi (sio wote) wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa...
3 Reactions
11 Replies
131 Views
Ni baada ya leo kuichapa ManCity 2-1 uwanja wa Wembley huku golikipa Onana akiwa man of the match. --- Manchester United imefanikiwa kubeba Ubingwa wa FA Cup 2024 kwa kuifunga Manchester City...
2 Reactions
13 Replies
712 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,412
Posts
49,716,012
Back
Top Bottom