uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 6,284
- 12,041
Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa.
Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza kumshangilia Mudathir maana naye ni Bora
NB: Binafsi nimeshindwa kumuelewa Aucho kwenye mtizamo wake juu ya ushabiki wa watanzania dhidi ya wachezaji wa kigeni ila duniani kote naona watu wanawashangilia watu pasi na kujali uraia wao.
Kane kachukua kiatu Germany akishangiliwa na Wajerumani