Salaam, Shalom.
Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri...
Ni moja ya mawaziri wako smart sana kichwani ,kuanzia decision mpaka Social life, kwa muda mrefu nmemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana , Tamisemi imekuwa bora sana...
Mzuka?
Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE.
kama haitoshi...
Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki!
Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali!
Kuna waliotapeliwa!, n.k.
Kesi...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au...
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistryna biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.