Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game. Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole...
1 Reactions
6 Replies
63 Views
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana. Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee...
6 Reactions
29 Replies
828 Views
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
10 Reactions
164 Replies
2K Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
743K Views
Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
6 Reactions
57 Replies
644 Views
Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza...
16 Reactions
57 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Pamoja na Aziz Ki kufunga, bado hakukuwa na jitihada na mikakati ya dhati kumtengenezea mazingira ya kufunga zaidi. Dodoma FC walipoteana jumla lakini wachezaji wa Yanga walionekana kuridhika na...
7 Reactions
29 Replies
956 Views
Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie...
10 Reactions
26 Replies
514 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,179
Posts
49,683,942
Back
Top Bottom