Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.
Rejea kichwa cha habari hapo...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi.
Javad anasema ajali...
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
Good evening jf members,
I've decided to use English to reduce the number of insults from certain annoyed members.
As a Young Africans S.C supporter and a passionate Tanzanian football fan, I...
Mheshimiwa waziri wa maji matatizo ya maji ya miaka kumi iliyopita yamerudi katika jiji la dar es salaam pamoja na kwamba hakuna taarifa ya kupungua kwa maji.Hali ni mbaya zaidi kwa dawasa kimara...
Habari
Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo
Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali. Nina video ya Mzee mmoja hapa...
Nakaribisha wajuvi wa mambo kuhusu Iran.
Huyu General Qassem Soleimani alikuwa na nini cha ziada ? Mbona wa Iran wengi huonesha kumkubali na kusikitishwa zaidi na kifo chake mpaka leo licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.