Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert...
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.
Wapo waumini wa kanisa moja...
Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka...
Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.
Rejea kichwa cha habari hapo...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi.
Javad anasema ajali...
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,
Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.