Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa...
7 Reactions
32 Replies
585 Views
Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima. Nimemaliza.
2 Reactions
17 Replies
133 Views
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu. Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
4 Reactions
53 Replies
601 Views
Kwa anaemjua anisaidie namba yake nmepata dharura 0678096545
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam Mhe. Tundu lissu, Natumaini unaendelea vema. Mhe. Tundu lissu nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania ninayekupenda na kukufatilia sana. Naamin kabisa katika siasa za Tanzania wewe...
18 Reactions
51 Replies
2K Views
Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje...
5 Reactions
32 Replies
458 Views
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba. Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala. Tabu iliyonifika ni...
7 Reactions
18 Replies
423 Views
Hawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani. Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale...
3 Reactions
19 Replies
299 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,016
Posts
49,648,320
Back
Top Bottom