Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu.
Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa...
Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima.
Nimemaliza.
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu.
Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
Salaam Mhe. Tundu lissu, Natumaini unaendelea vema. Mhe. Tundu lissu nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania ninayekupenda na kukufatilia sana.
Naamin kabisa katika siasa za Tanzania wewe...
Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje...
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA
Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba.
Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala.
Tabu iliyonifika ni...
Hawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani.
Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.