Hello Wadau wa JF!
Weekend ipo vipi pande hizo?
Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni.
Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nipo kwenye mdahalo wa kitaifa wa vijana kuhusu miaka mitatu ya Raisi Samia Hassan na utekelezaji wa ajenda za vijana ......huu mdahalo umeandaliwa na Huyu Mbunge wa viti maalum Nusrat Hanje,mgeni...
Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi.
Huyu paka hana mpango...
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM.
Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na...
Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate Aziz Ki to stay . what a great move .
Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation .
We wait . Will he stay...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.