Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani. Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea. Arusha ni...
0 Reactions
23 Replies
151 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Kama unataka kuwa Freelancer nafasi zipo za kutosha,jinsi ya kuomba fata maelezo bila kukosea. 1.Bonyeza Hapa 2.Kisha bonyeza Hapa jisajili. 3.Kuhakiki usajili wako bonyeza hapa 3.Baada kujaza...
1 Reactions
16 Replies
274 Views
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe. Mfano: Tabia ya...
72 Reactions
426 Replies
11K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
12 Reactions
149 Replies
2K Views
Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi PES hasa uwepo wa UEFA champions league, bado FIFA haikuti PES, kwa mtazamo wangu. Wewe unaikubali ipi? === Maoni ya wadau: Mimi still ni fan...
7 Reactions
178 Replies
19K Views
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao...
1 Reactions
56 Replies
828 Views
Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa...
242 Reactions
3K Replies
213K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,859
Posts
49,701,086
Back
Top Bottom