Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
9 Reactions
22 Replies
479 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
22 Reactions
249 Replies
4K Views
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
0 Reactions
41 Replies
129 Views
Wanasema wasi wasi na jambo unapolileta hapa JF linaweza kubezwa au kutafakari kama wenye kulifahamu.Mkoa wa pwani upande kusini ni kama ulisahaulika kiasi fulani.ila baada yale ya kibiti na...
6 Reactions
15 Replies
283 Views
⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati...
1 Reactions
10 Replies
201 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
18 Reactions
186 Replies
7K Views
Ukomavu haupimwi kwa umri, ni mtazamo unaojengwa na uzoefu. Hapa kuna sifa 10 za mtu aliyekomaa. Hufurahi kuwa peke yao: Wanastarehe wakiwa peke yao na hawahitaji marafiki au watu karibu nao...
2 Reactions
4 Replies
90 Views
Habari wa JF, Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala. Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye...
2 Reactions
20 Replies
160 Views
Wakuu kwema? Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema...
7 Reactions
21 Replies
445 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,996
Posts
49,703,698
Back
Top Bottom