Wanasema wasi wasi na jambo unapolileta hapa JF linaweza kubezwa au kutafakari kama wenye kulifahamu.Mkoa wa pwani upande kusini ni kama ulisahaulika kiasi fulani.ila baada yale ya kibiti na...
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati...
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana
Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
Ukomavu haupimwi kwa umri, ni mtazamo unaojengwa na uzoefu.
Hapa kuna sifa 10 za mtu aliyekomaa.
Hufurahi kuwa peke yao: Wanastarehe wakiwa peke yao na hawahitaji marafiki au watu karibu nao...
Habari wa JF,
Naomba msaada wa kisheria nifanyeje hili swala.
Niliomba mkopo bayport tar 25/4/2024 na makato yakapita kwa utumishi tar 2/5/2024 cha ajabu up to now hawajaingiza hela kwenye...
Wakuu kwema?
Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema...
Hawa wasanii wanaotambulisha nyimbo zao kwa bwana Rajabu Zomboko huwa wanaishia wapi?
Sijawahi kumuona msanii alietambulisha kazi yake kwenye hiki kipindi amevuma na kuwa msanii mkubwa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.