Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi. Huyu paka hana mpango...
9 Reactions
56 Replies
687 Views
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM. Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na...
4 Reactions
12 Replies
341 Views
Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate Aziz Ki to stay . what a great move . Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation . We wait . Will he stay...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
27 Reactions
354 Replies
8K Views
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu. Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
16 Reactions
172 Replies
5K Views
Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
6 Reactions
23 Replies
447 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa...
4 Reactions
20 Replies
111 Views
Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za...
0 Reactions
53 Replies
804 Views
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani. Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea. Arusha ni...
4 Reactions
85 Replies
719 Views
Safari hii makolo mmeingia cha kike, yaani tukikuona tu unazurula na jezi lako la Mo Xtra kwenye paredi la ubingwa wa Yanga tutakushughulikia ipasavyo maana utakuwa unahatarisha furaha ya...
8 Reactions
28 Replies
664 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,934
Posts
49,702,844
Back
Top Bottom