Wakuu wa sanaa na burudani habari!
Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike...
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu.
(Maize sheller machine)
✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA)
✓Inapukuchua magunzi saize...
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa...
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
Habari wanabodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin?
Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin?
Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.