Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni...
3 Reactions
26 Replies
444 Views
Wakuu wa sanaa na burudani habari! Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila...
1 Reactions
4 Replies
27 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu. (Maize sheller machine) ✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA) ✓Inapukuchua magunzi saize...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
22 Reactions
224 Replies
3K Views
Phone4Sale Simu za Docomo
ARROWS F-04K 💰235,000/= Sideway fingerprint 👎 32GB ROM 3GB RAM CAMERA 🔥 Tupo kariakoo aggrey na ndana Tupigie 0692690033 Karibu Maongezi yapo
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa...
3 Reactions
28 Replies
547 Views
Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
18 Reactions
91 Replies
2K Views
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
4 Reactions
37 Replies
903 Views
Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
11 Reactions
138 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,847
Posts
49,700,620
Back
Top Bottom