Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu. (Maize sheller machine) ✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA) ✓Inapukuchua magunzi saize...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto? Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya...
22 Reactions
224 Replies
3K Views
Phone4Sale Simu za Docomo
ARROWS F-04K 💰235,000/= Sideway fingerprint 👎 32GB ROM 3GB RAM CAMERA 🔥 Tupo kariakoo aggrey na ndana Tupigie 0692690033 Karibu Maongezi yapo
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa...
3 Reactions
28 Replies
542 Views
Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
18 Reactions
91 Replies
2K Views
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
4 Reactions
37 Replies
895 Views
Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
11 Reactions
138 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin? Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin? Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa...
3 Reactions
27 Replies
607 Views
Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza...
0 Reactions
9 Replies
146 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,847
Posts
49,700,620
Back
Top Bottom