Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
7 Reactions
99 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.mimi mdogo wenu nimeingia kwenye ndoa mwezi wa kwanza mwaka huu,hadi sasa mimi na shemeji yenu tuna miezi 6 ya ndoa yetu...
6 Reactions
89 Replies
39K Views
Assalaam Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino, Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi...
14 Reactions
237 Replies
6K Views
  • Suggestion
Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi...
0 Reactions
1 Replies
27 Views
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli YEHOVA kama...
1 Reactions
9 Replies
33 Views
Nimeona watu wengi wamekua wakikumbana na changamoto za kununua ardhi na hii ni kutokana na elimu ndogo juu ya mchakato upi sahihi wa kutambua mmiliki haswa wa kiwanja husika. Kuna hii kitu...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
2 Reactions
13 Replies
49 Views
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu? “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya...
20 Reactions
63 Replies
1K Views
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
9 Reactions
39 Replies
479 Views
Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu...
0 Reactions
1 Replies
46 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,931
Posts
49,645,339
Back
Top Bottom