Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 10,152
- 16,097
Unakumbuka siku ile vijana wanamfuata Yesu na kumwambia Kuhani Mkuu anataka kumuua kwahiyo aondoke Yesu aliwajibu?
โNendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: โLeo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu."๐๐๐๐ (Luka 13:32)!
Sasa kipindi kile Yesu amepotea, haonekani nyumbani home kuna kiherehere mmoja alimfuata na kumwambia, "Mama yako na ndugu zako wako nje wanataka kukuona.โ
Alivyoshushuriwa sasa, hadi huruma, โMama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.โ๐๐๐. (Luka 19-21).
Imagine mtu amdisi mpaka mama yake anashindwaje kumuita Mkuu wa nchi Mbweha? Mwamba hakutaka ujinga kabisa!
Alipokutana na Mama yake, Mariamu, Mama akajaribu kuwaka "Kwanini umetutesa hivi? Mimi na baba yako tumekutafuta siku tatu hekaluni."๐ซข๐ซข๐ซข
Sikiliza alivyomjibu mama yake "Hamkujua ya kuwa ilinipasa kuwamo nyumbani mwa baba yangu?" Huyo ndiyo Yesu naye mjua mimi. Hajui kuremba๐.
Sasa kiboko ni siku ile Yesu amewambia wanafunzi wake wahuni watamuua ila wasikonde atafufuka baada ya siku tatu, mshikaji wake Petro akamvuta Pembe na kumwambia "Hamna kitu kama hicho."
Yesu akamwambia "Ondoka mbele yangu. Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya Kimungu ila ni ya Kibinadamu!๐ซข๐ซข๐ซข. (Luka 13: 32).
Yaani Yesu ukizingua alikuwasha bila kujali hadhi yako. Ila wakati anasepa alimpa Petro shavu la nguvu! Hakumuacha Kinyonge.
Alimwambia *''Mt 16:18
Nami nakuambia, "Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda".. (Mt 16:18). Hapa tu ndo nilikomkubali sana Yesu. Hakuwa na bifu la kudumu.
Sasa siku ile Pilato akayakanyaga kumuulize "Je wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi? WEWE WASEMA๐! Jibu fupi lenye maudhi na kebehi kwa mkubwa. Ndiyo maana walimuua aisee!
Kuna moja alijibu "Si vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwapa mbwa". Sikumbuki hapa alikuwa anamjibu nani.
Siku ile sasa mwanamke mzinifu anataka kula kichapo, unajua Yesu alisemaje? Anayejiona hana dhambi awe wa kwanza kumpiga huyu mwanamke." Watu wote nduki! Mwamba alikuwa hasomeki!๐๐
Ila kwa ufupi Biblia imejaa nyundo ukijichanganya umegongwa.
Kwamba "Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu" (Yakobo 4.3)!
Ila hapa kuna kaukweli ujue, maana kuna mtu anaokba utajiri ili akawakonge waliomsalimia kwa dharau.
Kwamba "Enyi Wagalatia msiokuwa na akili nani aloyewaroga?๐๐. Wagalatia wamejaa hata huku kwetu. Ni watu lakini kama wehu tu!
Kwamba "Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka." (Mithali 27:22.).
Biblia bhana. Kwahiyo mpumbavu ni janga kumtoka mtu ni issue. Haya bhana!
Kwamba "Waacheni hao ni viongozi vipofu na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatukumbukia shimoni wote wawili."
(Mathayo 15:14). Ati nini!!๐๐!
Ila kuna viongozi mpaka Mungu mwenyewe anawashangaa na shetani anawacheekaaa๐๐๐.
Sasa chukulia mfano wa lile liroboti lililokuwa linapokea wageni jana Bungeni Shetani akijua atatuonaje? Bora asione tu!
Kwamba "Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya sadaka zenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo๐๐๐ (Malaki 2:3).Hapa sichangii!
Kwamba *"Mwanangu, kubali maonyo; hakuna mwisho wo wote wa kutunga vitabu vingi; na kusoma sana huuchosha mwili (Mhubiri 12:12).
Hapo waandishi na wasomaji wa vitabu tukafikwa. Satunafanyaje hapa!๐คท๐คท๐คท
Kwamba "Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, kadharika mwanamke mzuri asiye na akili (Mithali 11:22).๐๐๐๐๐ Wanawake leo mnalo. Njooni muonee!