Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

nilisoma hii ishu kwenye kitabu The dark side of Nyerere cha Ludovick Kaijage. baadhi ya sehemu anasema. walivyokutana. hapa akamuibia documents. Hapa anakuta vitu vyake kwenye mikono salama.
3 Reactions
66 Replies
14K Views
Salaam, Shalom!! Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa...
3 Reactions
40 Replies
980 Views
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111 The Story: Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona watu wengi, bodaboda wengi wamekaa vikundi vikundi, kiasi...
3 Reactions
160 Replies
6K Views
Rwanda na Burundi miaka ya 90 zilikuwa kwenye wakati mgumu husasani mauaji ya kimbari.ila mpaka leo imekuwa kama centre ambayo kila kukicha kambi zimeshindwa kufungwa na mpaka sasa sababu ya...
0 Reactions
14 Replies
159 Views
Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
18 Reactions
88 Replies
3K Views
  • Suggestion
Uwekezaji Katika Teknolojia na TEHAMA: Njia ya Kuijenga Tanzania Bora Teknolojia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) zimekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
1K Replies
28K Views
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara. Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama...
5 Reactions
37 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,675
Posts
49,696,284
Back
Top Bottom