Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango. Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie. Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa...
7 Reactions
25 Replies
603 Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
10 Reactions
96 Replies
2K Views
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na...
4 Reactions
8 Replies
9 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa...
1 Reactions
13 Replies
53 Views
Bila salamu, nimechefukwa sana na kitendo cha huyo dogo kuchomoa uhai wa huyo mwanamke huko Goba bila sababu yoyote ya msingi Huyo dogo hajui code za mjini, anaonekana odometer yake hapa mjini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
134K Views
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya...
4 Reactions
45 Replies
789 Views
Acheni jamani, Naumwa. Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu. Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa. Nilianza mwezi wa saba...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,856,712
Posts
49,697,123
Back
Top Bottom