Amani iwe kwenu,
Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.
Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
Salaam, Shalom!!
Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti...
Alipenda sana kutukana watu hadharani. Aliwahi kumrushia maneno makali na machafu mama huyu aliyelelewa kwa maadili ya kidini . Hakuyapenda na yalimkerehesha sana. Akasusa. Kazi kubwa sana...
uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha.
Uhai wa mtu ni very cheap sana
huko Arusha.
Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi...
Nimeona nitoe tahadhari,
Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti.
Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya...
Habari wana Jf
nisiwachoshe tuende moja kwa moja kwenye uzi.
katika mitaa yetu tunayoishi kumekua na tetesi nyingi zinazosambaa zikihusisha na kuelezea maisha ya jeshini(JKT) na kuonekana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.