Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine
Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
Kuna jambo hili la ulinzi shirikishi ambalo naona linaendelea kushika kasi katika jamii yetu. Je, lipo kisheria? Kazi ya wizara ya ulinzi ni ipi kama wananchi tunatakiwa kujilinda wenyewe? Kama...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki Hadi kwao 😁😁😁
My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa 😂😂
====
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza nia yake ya kulitwaa...
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wananchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza.
Ni mateso kuishi na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.