Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu zaidi...
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.
KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO
Ni...
Nyumba ipo Goba kwa Robert,
* Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu.
*Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake .
*Ina Spanish tiles.
*madirisha ni pvc
*ina fence
*ina vyoo (toilets) 5 ...
09/Mei/2024
Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni.
Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa...
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.
Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge...
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki na alikataliwa Hadi kwao ?😁😁😁
My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa , yaani mumejua kunifurahisha 😂😂
====
CHAMA cha Demokrasia na...
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)
Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano.
Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano.
Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.