Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
2 Reactions
28 Replies
300 Views
Ati otikiii🤣🤣👇👇
2 Reactions
14 Replies
157 Views
Habari zenu kwa ujumla Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana. Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
18 Reactions
42 Replies
548 Views
Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga...
2 Reactions
9 Replies
129 Views
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
1 Reactions
12 Replies
244 Views
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
5 Reactions
114 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,355
Posts
49,629,810
Back
Top Bottom