Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye...
19 Reactions
80 Replies
965 Views
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k. KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO Ni...
2 Reactions
6 Replies
119 Views
Nyumba ipo Goba kwa Robert, * Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake . *Ina Spanish tiles. *madirisha ni pvc *ina fence *ina vyoo (toilets) 5 ...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa...
4 Reactions
36 Replies
850 Views
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda. Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge...
191 Reactions
552 Replies
51K Views
Kumbe Mzilankende Magufuli alikuwa hakubaliki na alikataliwa Hadi kwao ?😁😁😁 My Take: Chadema acheni kutoa Siri za Wakubwa , yaani mumejua kunifurahisha 😂😂 ==== CHAMA cha Demokrasia na...
5 Reactions
48 Replies
860 Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
8 Reactions
72 Replies
2K Views
Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
3 Reactions
18 Replies
216 Views
Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu zaidi...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Mhe. Agnes Marwa Aomba Maslahi ya Majeshi Yaboreshwe....
2 Reactions
6 Replies
196 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,157
Posts
49,624,135
Back
Top Bottom