Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
8 Reactions
39 Replies
821 Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
15 Reactions
94 Replies
1K Views
Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya. Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato...
1 Reactions
21 Replies
243 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
12 Reactions
197 Replies
5K Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Najua wengi itakua ngumu kunielewa. Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka...
2 Reactions
13 Replies
224 Views
Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
3 Reactions
34 Replies
693 Views
Je unaweza kuomba temporary injunction/stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa? Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/CPC) unaweza kuomba zuio la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi / ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. ndugu wa mke - hakikisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,309
Posts
49,628,447
Back
Top Bottom