Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa.
Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba...
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
Habari za mchana ndugu zangu wa JF.
Leo nimewaza sana kuhusu demokrasia ya kuchagua au kuchaguliwa katika bara letu zuri la Africa ninalolipenda sana.
Katika muingiliano wa uchanganyaji wa damu...
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh "
Nikinukuu baadhi ya verse
" Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe "
Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
Habari wakuu.
Pesa yangu 120000 iliyotumwa kimakosa kwenye Lipa namba ya VODACOM 5757565 tarehe 28 mwezi wa jana,nimefanikiwa kuipata.
Pongezi kwa Mtandano wa VODACOM na Tigo kwa kufanya kazi...
Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.