Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on...
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe
Imenitafakarisha sana 🐼
Niishie hapo
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.