Siku ya Kimataifa ya Familia ni maadhimisho yanayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu umuhimu wa familia na kusherehekea jukumu muhimu ambalo familia zinao katika...
Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika?
maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria...
Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick)
2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext
3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.