Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dah tuweni makini UKIMWI upo. Humu ni post za mapenzi tu sijui hili au lile . Haya 1.6 ml wanao umeme . https://youtu.be/eVKa-dIWbdk?si=Eed0o5VAQM4ixvF2
2 Reactions
13 Replies
207 Views
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Angalizo kwa Wanabodi na Mode Bandiko hili ni C&P kutoka kwa mwana JF fulani. Kwasababu mwandishi ni member wetu humu na humu hajaileta, naomba ikitokea ameileta humu, then futa hili bandiko...
28 Reactions
170 Replies
14K Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
13 Reactions
121 Replies
5K Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
47 Reactions
227 Replies
6K Views
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama...
3 Reactions
32 Replies
186 Views
Amrish Puri, Mwamba Alisumbua Sana Kwenye Filamu Za Kihindi Na Sidhani Kama Kuna Muigizaji Atakuja Kuigiza Vizuri Nafasi Ya Adui Kama Huyu Mzee. Filamu Gani Unaikubali Ambayo Aliigiza Amrish Puri?
1 Reactions
1 Replies
32 Views
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Katavi wameiomba serikali kuona namna bora ya kuwapunguzia wananchi Kodi ya ardhi na kodi ya jengo ambapi imekua mzigo kwa wananchi hao kulipa kodi mbili kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
36 Reactions
256 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,964
Posts
49,618,548
Back
Top Bottom