Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
7 Reactions
77 Replies
658 Views
Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
0 Reactions
4 Replies
109 Views
Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHadema ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu, amni iwe nanyi, Nimekuwa nikisema maandishi mbalimbali humu jamvini ambayo kwa baadhi yenu wamenichukulia kama adui wa wanawake na wengine kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakuwa...
65 Reactions
289 Replies
55K Views
Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
24 Reactions
112 Replies
3K Views
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja Huko tunakoelekea teknolojia...
1 Reactions
11 Replies
174 Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
10 Reactions
45 Replies
602 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
56 Reactions
311 Replies
7K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
64 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,975
Posts
49,619,123
Back
Top Bottom