Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
Wakuu kwema.
Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi.
Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80%
Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao.
Ila ukimuona mwanaume ambaye...
ON SALE (EBE)-
Price 14.7ml
KALI SANA
Color 🖤 PEARL WHITE
MWAKA 2005
LOW MILEAGES
Engine 1290
Low mileage
New tyre
Clean sana
0768160670
EXCHANGE ALLOWED
Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Shehe Ponda ambaye ni mwenyeji wa Kigoma anesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika faida yake ni ndogo ukilinganisha na Hasara
Kupitia ukurasa wake wa X shehe Ponda ameitaka Wananchi waulizwe...
Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma
Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia...
Ni takribani siku kadhaa sasa tangu internet nchini imekuwa na changamoto.
Hadi sasa tunachofahamishwa ni kwamba kuna nyaya huko baharini zimeleta hitilafu, hilo ndilo kila mmoja nchini utasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.