Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

BAADA YA YANGA KUCHJKUA UBINGWA. WA NBC NASHAURI HII BODI ICHUKUE MDA KUJITAFAKARI IJIUZULU TU WASIONE AIBU KWA YALE YALIOENDELEA KWENYE HII LIGI HUU MWAKA N KICHEFUCHEFU PIA MABOSI WA WAAMUZI...
1 Reactions
4 Replies
10 Views
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ; Dar es Salaam Mwanza Tanga Mbeya Arusha Dodoma Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
2 Reactions
22 Replies
451 Views
Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
2 Reactions
43 Replies
539 Views
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu. Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30. Pia nachukua fursa hii kuwapa...
1 Reactions
5 Replies
127 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
125K Views
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok? Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani...
11 Reactions
25 Replies
960 Views
Kati ya wachezaji wenye bahati n mkude Yaaan wakati simba wanamwona wa nn yanga watamtaka lini Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasaaa Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa berkane...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho...
15 Reactions
71 Replies
3K Views
A
Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa...
0 Reactions
6 Replies
141 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,641
Posts
49,609,642
Back
Top Bottom