Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Usijidanganye kwenda bondeni kutafuta maisha kama huna msingi, wala kibali. Kama unaweza kulipa nyumba Milioni kwa mwezi hapa Tanzania basi unaweza kuishi huko.
Kama unaweza kuishi Masaki na...
Habari wanajukwaa
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha mbweni kilichopo bagamoyo road
Tlnisiwachoshe ngoja niende moja...
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki!
1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa...
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie.
Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe.
Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa.
Ukiona mtu...
Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
1; Kuimarisha Afya ya Moyo:
Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.