Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji ( nadhani...
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.
Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
Rais Samia huyoo?
Sasa hivi kaenda Ufaransa!
Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri.
Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. CHAGUENI CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.