Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ;
Dar es Salaam
Mwanza
Tanga
Mbeya
Arusha
Dodoma
Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?
Au mimi kuna kitu sielewi?
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.