Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
3 Reactions
133 Replies
2K Views
Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe Mbunge wa Buyungu, Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shuleni akirudi masomoni baada ya kujifungua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita... kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mfumo jumuishi wa kifedha ni jambo zuri katika kukua uchumi wa nchi na matumizi ya mifumo rasmi ya kifedha. Kuruhusiwa mitandao ya simu kutoa huduma za kifedha ilikuwa ni nia njema ya BoT...
2 Reactions
4 Replies
763 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
8 Reactions
191 Replies
3K Views
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa, Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
4 Reactions
26 Replies
338 Views
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
15 Reactions
76 Replies
6K Views
Ni takribani siku kadhaa sasa tangu internet nchini imekuwa na changamoto. Hadi sasa tunachofahamishwa ni kwamba kuna nyaya huko baharini zimeleta hitilafu, hilo ndilo kila mmoja nchini utasikia...
3 Reactions
18 Replies
191 Views
Wakuu kwema. Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi. Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
1 Reactions
18 Replies
165 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,797
Posts
49,614,008
Back
Top Bottom