Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.
Mkurugenzi...
Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni...
Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae.
Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila...
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS
Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya...
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:
1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa...
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili,
Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.