Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Salaam shalom!! Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee, Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
1 Reactions
20 Replies
295 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
25 Reactions
73 Replies
2K Views
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa...
11 Reactions
40 Replies
863 Views
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema...
27 Reactions
205 Replies
9K Views
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu: 1. UKOSEFU WA UZALENDO: Watuhumiwa wote wa...
2 Reactions
14 Replies
85 Views
Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema...
22 Reactions
151 Replies
3K Views
Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina...
3 Reactions
28 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,514
Posts
49,606,378
Back
Top Bottom