Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa...
1 Reactions
12 Replies
231 Views
-unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu Kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. -unaweza kujikuta wengi wa vijana...
5 Reactions
11 Replies
235 Views
Naiombea kwa Mola timu yangu yanga kesho tushinde,kila mwananchi ungana nami kusali kwa dini kesho tupate ushindi
5 Reactions
15 Replies
403 Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
18 Reactions
49 Replies
3K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
1 Reactions
16 Replies
416 Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
8 Reactions
111 Replies
2K Views
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania. Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
11 Reactions
104 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Kwema Wakuu! Juzi kuna dada mmoja alinicheki na kuniomba ushauri kuwa afanyeje ili amkomeshe kijana mmoja ambaye kwa madai yake anasema amemkatili. Sisi wanaume wengi wetu hatukomolewi wala...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
12 Reactions
66 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,539
Posts
49,607,289
Back
Top Bottom