-unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu Kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa.
-unaweza kujikuta wengi wa vijana...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa.
Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania.
Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya...
Kwema Wakuu!
Juzi kuna dada mmoja alinicheki na kuniomba ushauri kuwa afanyeje ili amkomeshe kijana mmoja ambaye kwa madai yake anasema amemkatili.
Sisi wanaume wengi wetu hatukomolewi wala...
Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka.
Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa...
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.